Loko Find

Loko Find ni app itakayo kusaidia kukutana na wafanya biashara na wanunuzi wengi zaidi kutoka Tanzania kupitia simu yako.

Sajili Biashara
Loko Find

BURE KWA WATUMIAJI

Utaweza Kufanya

Zabuni

Tangaza Zabuni kwa  wafanya biashara wa kitanzania pamoja na kuangalia ofa zao.

Biashara Ulipo

Utaweza kuona biashara zote zilizopo karibu na wewe hii itakupa urahisi wa kupata unachotaka.

Anza Kufanikisha

Anza kufanikisha mambo kwa urahisi au kupata wateja mahali ulipo kwa haraka.

Loko Find

Suluhisho Bora Tanzania

Loko Find Itakupa nafasi ya kufikia wateja na wafanya biashara wote kutoka Tanzania kwa urahisi na haraka.

Sajili Biashara Yako

Loko Find Business ni suluhisho bora kwa wafanya biashara wa aina yoyote bila kujali wewe ni kampuni au mtu binafsi.

App ya Loko Find imegawanyika kwenye sehemu mbili app ya wateja na app ya biashara app zote zinawezesha watumiaji 

  • Tangaza Biashara Bure
  • Kutana na wateja kwa haraka bila kujali ulipo.
  • Fahamika zaidi hata kama uko mbali na eneo la kazi.

Sajili Biashara

Jaza maelezo kuhusu biashara yako.

Eneo la Biashara

Sajili eneo ulilopo bila kujali kama ni ofisi.

Anza Kazi

Anza kazi kwa haraka baada ya usajili.

Badilisha Eneo

Utaweza kupata kazi eneo lolote ulilopo.